Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.
Mimi nina uzoefu kidogo kuhusu sekta hii hivyo naomba kama una swali uliza tupate saidiana.
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUO
Mimi napenda sekta ya nyuki na asali katika kusoma makala mbalimbali naona wengi wanachakachua asali sas mkuu ni wapi panapatikana asali pure bila kuongezwa, sukari au kuchemshwa? Napenda kufanya biashara ya asali na ni kipi chakufanya kama nataka nianze hii biashara maana malengo yangu ni kuwa na mizinga yangu mwenyew na kukamua
Kupata asali safi kabisa unapaswa kufuata hatua za ufugaji bora wa nyuki kutoka mwanzoni unaanza mradiMimi napenda sekta ya nyuki na asali katika kusoma makala mbalimbali naona wengi wanachakachua asali sas mkuu ni wapi panapatikana asali pure bila kuongezwa, sukari au kuchemshwa? Napenda kufanya biashara ya asali na ni kipi chakufanya kama nataka nianze hii biashara maana malengo yangu ni kuwa na mizinga yangu mwenyew na kukamua
Mimi natafuta mashine ya kukamulia asali tafadhali tuwasiliane katika no hii 0765922761Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.
Mimi nina uzoefu kidogo kuhusu sekta hii hivyo naomba kama una swali uliza tupate saidiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je mashine ya kukamulia asali nitaipata wapi na bei gani?Poleni na shughuli za kuyatafuta maisha.
Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya wote wanaotaka kujua lolote kuhusu nyuki na mazao yake,tujadili hapa kwa kina kuhusu masuala ya nyuki.
Mimi nina uzoefu kidogo kuhusu sekta hii hivyo naomba kama una swali uliza tupate saidiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kama ulishapata mashine, kama bado naomba tuwasiliane nitakusaidia +255622 642620Je mashine ya kukamulia asali nitaipata wapi na bei gani?
Zipo za ukubwa tofauti na bei tofauti, naagiza kulingana na mahitaji ya wateja +255622 642620Je mashine ya kukamulia asali nitaipata wapi na bei gani?
Habari…Mimi napenda sekta ya nyuki na asali katika kusoma makala mbalimbali naona wengi wanachakachua asali sas mkuu ni wapi panapatikana asali pure bila kuongezwa, sukari au kuchemshwa? Napenda kufanya biashara ya asali na ni kipi chakufanya kama nataka nianze hii biashara maana malengo yangu ni kuwa na mizinga yangu mwenyew na kukamua
Inapatikana Arusha kwa Tshs. 650,000/- mashine inayoweza kukamua lita 20.Je mashine ya kukamulia asali nitaipata wapi na bei gani?
Weka picha itasaidia kujua unachomaanisha mkuuInapatikana Arusha kwa Tshs. 650,000/- mashine inayoweza kukamua lita 20.
Wasiliana nasi kwa namba 0710329617 / 0767503500
Mzinga ina bei tofauti kutegemea na upatikanaji mbao, nakushauri unaweza kuandaa mbao na kutengeneza lakini ukitaka kununua Sh 120,000/ unapata. Upo mpaka Sh 170,000/ ambao unakuwa na kikinga MalkiaJamani mzinga w nyuki bei gani?