Tuanzie hapa kwa ishu ya Dk Mvungi

Yes hapa sasa panatakiwa ufikiri kama Willy Gamba - yule Mpelelezi maarufu barani Africa - Jina la kiofisi - Number 1.
 
Nafurahi unavyozidi kufunguka; mimi wala sijahitaja serkali kama ulivyofanya wewe hapo kwenye RED.

Bila shaka unayo mengi sana moyoni mwako kuhusu sakata la mauaji ya Dr. Mvungi (RIP)!

Unaona sasa! Huna msimamo,
Sio wewe uliekuwa unasema serikali imehusika? Au kuna omuga wengi!?

Siku nyingine unaposema kitu mbele ya hadhara namna hii. Basi uwe tayari kutia ushahidi wa hayo unayoongea.
Na km bahati mbaya uliropoka kwa jazba basi sio aibu kuomba samahani!
Mbona mimi nikikosea nataka radhi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…