Tuanzishe Sacoss kwa waliopo mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Wakuu ninatumaini mpo poa sana
Kutokana na hali ngumu ya maisha na watu wengi kukosa sifa za kupata mkopo nimekuja na wazo kwa wale waliopo mwanza wwnye biashara ndogo ndogo au walioajiriwa tujioganize tuanzishe kikundi chetu tujisajili ili iwe rahisi kupata mkopo
Mbali na hapo lile fungu la Raise magufuli LA kusaidia vijana likitoka likute tayari tuna kikundi kilichosajiliwa
Kwa maana hiyo waliotayari tukutane Whatsap ili tujadili Nina ya kukutana, kutengeneza katiba kugungua account ya kikundi na kuchagua viongoz tafadhali hakuna Pesa ndogo tukiwa serious tutafika mbali nichek Whatsap 0763772636 niki add plz nataka watu serious
 
Samahan namba imekosewa mambo ya smart phone haya a ni 0763772636
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…