kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Nina wazo wakuu ningependa tukusanyane Kwa pamoja tuunge kikundi cha vikoba. Na tuanze kukopeshana mitaji sisi Kwa sisi lengo ni kusaidiana na kutatuliana changamoto hizi za maisha yetu ya kila siku.. Asanteni wakuu.