Tuanzishe vikoba wakuu tukopeshane ili tukwamuane kiuchumi

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Nina wazo wakuu ningependa tukusanyane Kwa pamoja tuunge kikundi cha vikoba. Na tuanze kukopeshana mitaji sisi Kwa sisi lengo ni kusaidiana na kutatuliana changamoto hizi za maisha yetu ya kila siku.. Asanteni wakuu.
 
Mkuu unaikumbuka DEC?
 
Ebu angalia majirani na walimu wenzio pamoja na watu wanao kuzunguka, kisha uwape wazo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…