Tubadili Mfumo wa Uongozi wa Vyama Vya siasa

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wakuu,

Mimi siko kwenye siasa lakini kutokana na shida zangu za kila siku napata tabu kuelewa solution iwapo tutabaki na siasa zisizoenda na mwakati wala kuangalia welfare ya nchi

Nimetafakari sana matatizo mengi ya vyama vya siasa ni kukosa maono na dira kwa viongozi hasa wale watendaji

Ukichunguza mara nyingi baadhi ya Majibu ya wanasiasa yanasikitisha na yanaonyesha wazi kwamba upeo wa viongozi ni mdogo

Leo ntaomba kuanza na nafasi ya katibu Mkuu wa chama na nitaanza na Makamba...

Huyu baba amethibitisha kwamba ni mwenezi mzuri na mpiga domo mzuri kuliko lakini hana hadhi ya ukatibu mkuu, its a high time kuwa na katibu mkuu;

  • Msomi
  • Mtaalamu wa sheria na mambo ya jamii
  • Awe ana uzoefu mkubwa wa kiutawala na fedha
  • Awe elegant
  • Abebe hadhi ya chama

Kesho tutaendelea na ma-DC wanaoteuliwa kisiasa
 
Mh, wakuu mmenichunia kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…