Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama

Kwa nini mkuu
Kwa7bu sidhan kama kuna mtu anahitaji kushauriwa kwenye hili mkuu hasa kwenye point ya kuacha Alama, Wenye uwezo na uhitaji wa kuzaa kwa point hiyo naamini wameshakata shauri tangu hapo kufanya hivyo na wengine hawatafanya maana kuna watu Alama uisemayo hawaoni umuhimu wake kwao na hata baadae. Labda ungetoa uzi kuhusu faida za kuzaa(kuacha alama) zilizothibitishwa; mfano kiafya nk. then uachie Wakuu wenyewe waamue.

***Paul Allen Co-Founder wa Microsoft amekufa akiwa na utajiri est 30+ Billion Dollars, hakuwa na mtoto ila kwa alama aliyoiacha hata Wakuu mzae watoto 1000 hamtakumbukwa kumzidi huyu jamaa***
 
ha ha ha ha sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…