Tubadilishane mawazo juu ya QNET Business

Tubadilishane mawazo juu ya QNET Business

GTA

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
878
Reaction score
651
Habari wadau wa JF,

Mada tajwa yajieleza, kutokana na kuwa na Mlipuko wa ugonjwa wa Corona na kupelekea kwa baadhi ya watu kutpoteza vyanzo vyao vya fedha na kama wanapata fedha sio kama hapo awali.

Napenda tubadirishane mawazo juu ya biashara hii ya QNET inayoineka inaweza kuwa msaada wa kujiingizia kipato mbadala na kujikwamua kiuchumi.
images
 
Hawa jamaa sio kabisa mambo yao sio realistic
Watu wanatoa semina lakini ukija kwenye uhalisia unapata changamoto ili mtu awe moja ya mwakilishi anatakiwa kununua bidhaa ya 3UV inkuwa ina cost $2800 na zaidi.
inatia uvivu
 
Good morning.

Karibu qnet
Tunauza saa nzuri kwa sh mil 5 tu.
Mwalike rafiki yako ajiunge ili upate commission.
Naomba namba yako nijiunge kwako.
 
Back
Top Bottom