Mada tajwa yajieleza, kutokana na kuwa na Mlipuko wa ugonjwa wa Corona na kupelekea kwa baadhi ya watu kutpoteza vyanzo vyao vya fedha na kama wanapata fedha sio kama hapo awali.
Napenda tubadirishane mawazo juu ya biashara hii ya QNET inayoineka inaweza kuwa msaada wa kujiingizia kipato mbadala na kujikwamua kiuchumi.
Watu wanatoa semina lakini ukija kwenye uhalisia unapata changamoto ili mtu awe moja ya mwakilishi anatakiwa kununua bidhaa ya 3UV inkuwa ina cost $2800 na zaidi.
inatia uvivu