Tafuta fundi akusaidie ku set channel. Iko technical kidogo
Decoder za FTA ziko nyingi sana. Kuna Medicom 940+ (100,000/-), kuna Arisat (80,000/-), Mediahome (150,000/-) nk. Ukifika madukani utapata na nyingine nyingi kwa bei rahisi, na zote hizo ni Mpeg 4 (s2)
shukurani sana boss.Nadhani kwa Dar bezi zinaanzia 300,000, ila naweza kukuunganisha na jamaa ukapata la bei rahisi kidogo la ft8. Mpigie huyu 0714515 950. Aliniuzia moja kunako 2014 ninalo mpaka leo, gumu sana la bati.
Kama utaitaji za kijanja zaidi nikuanzia 200,000/= hadi 400,000/= nk
nipo TundumaHilo dish ni size gani,na unatumia receiver ya aina gani? Mimi nina dish 6ft je unaweza kunifungia hivyo ulivyofanya? Je upo wapi? Mimi nipo Dar (w)Temeke Yombo Makangarawe. Nini charge yako?