Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 110
- 167
Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na kujiajiri.
Ningependa kupata maoni mbalimbali ya wadau kwa maana wanafunzi, watafuta ajira, waajiri, wafanyabishara na makundi mengine yenye mchango chanya.
Je, wewe unapitia/ulipitia changamoto gani na ulifanya nini ili kuzishinda, mbinu na fursa mbalimbali?