Joseph_Mungure
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 110
- 167
Kutokana na vijana wengi kupitia changamoto mara baada ya kumaliza masomo. Nimeona niandike uzi huu ili kutoa nafasi ya kubadilishana uzoefu na taarifa mbalimbali kuhusu changamoto ya ajira na kujiajiri.
Ningependa kupata maoni mbalimbali ya wadau kwa maana wanafunzi, watafuta ajira, waajiri, wafanyabishara na makundi mengine yenye mchango chanya.
Je, wewe unapitia/ulipitia changamoto gani na ulifanya nini ili kuzishinda, mbinu na fursa mbalimbali?
Kwanini ulitaka kujiua?Mwaka wa tano huu
Nimefanya umachinga
Ulevi
Umalaya
Ufugaji
Kuwekwa kusimamia vimiradi vya mzee
Nimeozeshwa nikarudishwa home ili nikae kuribia na wqzee maana wako wenyewe na ni wazee
I tried suicide
Na kwq sasa nimetuliza akili
Dah! Mkuu kujiua sio solution Mimi nimejifunza kuwa hakuna shida ya kudumu dunianiMwaka wa tano huu
Nimefanya umachinga
Ulevi
Umalaya
Ufugaji
Kuwekwa kusimamia vimiradi vya mzee
Nimeozeshwa nikarudishwa home ili nikae kuribia na wqzee maana wako wenyewe na ni wazee
I tried suicide
Na kwq sasa nimetuliza akili
Aende china plazaKijana kijana Ingia kariokoo kwanza