Tubadilishane vituo vya kazi

sekondari tarime huko unafanya nini unalinda,unapika,unasoma,unafanya usafi au unafundisha jielezee vizuri...?
 
mm nipo Moshi Mjini shule ipo ndani ya chuo kikuu cha MUCCOBs kama vipi tubadilishane..... hahahahahaha. Acha hizo ticha mwenzangu,fundisha hao watoto na MUNGU atakubariki na kukufanikisha hukohuko Tarime.
 
Niko bunda vichochoroni sana mihingo sitakikubadilishana na mtu naondoka mwenyewe
 
Mi ni mwalimu shule ya sekondari,nipo Wilaya ya Rorya kwa anayetaka tuwasiliane 0713039866
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…