Elections 2010 Tubandikieni Ratiba za Wagombea Urai hapa JF

Elections 2010 Tubandikieni Ratiba za Wagombea Urai hapa JF

Ibrah

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2007
Posts
2,730
Reaction score
530
Wadau, kuna yeyote ambaye anaweza kupata ratiba za Wagombea Urais- Dk. Slaa. Prof Lipumba na Kiwete?

Mtubandikie hapa ili tuweze kujua lina wagombea hao watatembelea mikoa yetu twende kuwasikiliza. Plz
 
Back
Top Bottom