Tubashiri: Msigwa atapata uteuzi gani CCM, for sure kuna nafasi ameahidiwa kumbuka alishasema Magufuli alimuahidi Uwaziri

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Moderators naomba msifute uzi huu.

Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM

Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
 
Mama Abdul kaiga Hii style ya kuunga mkono juhudi kwa magu
hela ya sukali hiyo inamfanya vurugu
Akina magoti walikaa bench Lumumba muda mrefu mpaka wakapewa na kazi ngumu alafu. Anakuja mchadema anawaovetake snapewa cheo kiulanin

Hivi wa wapi bananga na penrza
 
Kama hayati Lowasa aliinunua Chadema na kuhongwa ugombea uraisi ambao baadae aliangukia pua.

Basi sioni ajabu kwa msigwa. Siasa za Tanzania ni za masilahi.
 
Moderators naomba msifute uzi huu.

Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM

Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa wilaya/Mkoa.
Kwanza kabisa atalamba ubunge wa kishindo, kisha atapewa uwaziri!
 
Mama Abdul kaiga Hii style ya kuunga mkono juhudi kwa magu
hela ya sukali hiyo inamfanya vurugu
Akina magoti walikaa bench Lumumba muda mrefu mpaka wakapewa na kazi ngumu alafu. Anakuja mchadema anawaovetake snapewa cheo kiulanin

Hivi wa wapi bananga na penrza
nimeona clip ya peneza, msigwa na mwenezi wa ccm (jina lake nani vile)
 
Moderators naomba msifute uzi huu.

Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM

Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
Atapewa ukuu wa Mkoa
 
Mama Abdul kaiga Hii style ya kuunga mkono juhudi kwa magu
hela ya sukali hiyo inamfanya vurugu
Akina magoti walikaa bench Lumumba muda mrefu mpaka wakapewa na kazi ngumu alafu. Anakuja mchadema anawaovetake snapewa cheo kiulanin

Hivi wa wapi bananga na penrza
Magufuli anasingiziwa tu....toka WBM hadi SSH hakuna chochote kipya...
 
Atateuliwa kuwa msajili wa vyama vya siasa, ili aje kuifuta chadema.
 
Back
Top Bottom