Kwanza kabisa atalamba ubunge wa kishindo, kisha atapewa uwaziri!Moderators naomba msifute uzi huu.
Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM
Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa wilaya/Mkoa.
kama nafasi 10 za rais hazijaisha it is likely to be soKwanza kabisa atalamba ubunge wa kishindo, kisha atapewa uwaziri!
nimeona clip ya peneza, msigwa na mwenezi wa ccm (jina lake nani vile)Mama Abdul kaiga Hii style ya kuunga mkono juhudi kwa magu
hela ya sukali hiyo inamfanya vurugu
Akina magoti walikaa bench Lumumba muda mrefu mpaka wakapewa na kazi ngumu alafu. Anakuja mchadema anawaovetake snapewa cheo kiulanin
Hivi wa wapi bananga na penrza
Atapewa ukuu wa MkoaModerators naomba msifute uzi huu.
Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM
Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
Sahivi hawezi kupewa chochote mpk mwakaniKwanza kabisa atalamba ubunge wa kishindo, kisha atapewa uwaziri!
Kwanza kabisa atalamba ubunge wa kishindo, kisha atapewa uwaziri!
Magufuli anasingiziwa tu....toka WBM hadi SSH hakuna chochote kipya...Mama Abdul kaiga Hii style ya kuunga mkono juhudi kwa magu
hela ya sukali hiyo inamfanya vurugu
Akina magoti walikaa bench Lumumba muda mrefu mpaka wakapewa na kazi ngumu alafu. Anakuja mchadema anawaovetake snapewa cheo kiulanin
Hivi wa wapi bananga na penrza