Jidu La Mabambasi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 16,419 Reaction score 26,594 Feb 13, 2018 #1 Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro. Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
Tuna theluji na baridi ya kutosha juu ya mlima Kilimanjaro. Kamati ya Olympic na Bodi ya Utalii ikishifikiana na Mamlaka ya KINAPA, huu ndio wakati wa ku plan, Winter Olympic Kilimanjaro 2050.
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Feb 13, 2018 #2 Safi sana,kuna kipindi nilisikia wanasema barafu imeyeyuka kimebaki kiasi kidogo sana,kumbe zilikuwa story za walevi tu.
Safi sana,kuna kipindi nilisikia wanasema barafu imeyeyuka kimebaki kiasi kidogo sana,kumbe zilikuwa story za walevi tu.
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,080 Reaction score 4,914 Feb 13, 2018 #3 Tatizo sio barafu tatizo ni je tuna Maeneo na makazi ya kutosha kuwa hold washiriki wa iyo Olympic