Tubuni, Yesu anakaribia sana kurudi

Tubuni, Yesu anakaribia sana kurudi

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Yesu anakaribia sana kurudi.
Wafiraji tubuni
Makahaba tubuni
Wenye pesa za ndagu na mtubu
Mashoga mtubu
Wasagaji na mtubu
Waibaji na mtubu
Mnapenda ushirikina na mtubu
Mnapenda Rushwa na mtubu
Mnaosingizia wengine na mtubu
Wenye nyumba ndogo na mtubu
Wadangaji na mtubu na Kila afanyaye uovu na atubu.

Hakuna mbingu ya wenye dhambi, jehanamu inatisha. Moto wake haitumiki, kuna funza wa woto, hasira ya Bwana inatisha, tumrudie Mungu wetu.
 
20230102_204614.jpg
 
Unajua maana ya kurudi? Kwani aliondoka akiwa Tanzania?
 
Infact Kila mtu hajui ni lini ataondoka ila cha msingi ni kutubu tu ujiwe tayari leo tu Kuna ajari imetokea mkoani huku 6 pale pale wakubeba na kuzika so Kila mtu hajui siku yake ila tutubuni kwani msamaha ungalipo wakati huu unaoishi Amin. Ubarikiwe mwenye uzi.
 
Yesu anakaribia sana kurudi.
Wafiraji tubuni
Makahaba tubuni
Wenye pesa za ndagu na mtubu
Mashoga mtubu
Wasagaji na mtubu
Waibaji na mtubu
Mnapenda ushirikina na mtubu
Mnapenda Rushwa na mtubu
Mnaosingizia wengine na mtubu
Wenye nyumba ndogo na mtubu
Wadangaji na mtubu na Kila afanyaye uovu na atubu.

Hakuna mbingu ya wenye dhambi, jehanamu inatisha. Moto wake haitumiki, kuna funza wa woto, hasira ya Bwana inatisha, tumrudie Mungu wetu.
Sawa kutubu watatubu ila na wewe ukumbuke kutubu, maana ni mwanadam mwenye matamanio na tamaa kama wanadam wengine tuu, weee sio MUNGU.
 
Mathayo 24:14
Injili ya Ufalme itahubiriwa ulimwenguni kote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote. Ndipo mwisho utakapokuja.
 
Hamjui saa wala siku ya vifo vyenu
 
Back
Top Bottom