Tuchague rais mzima

Ohh No! This is hilarious! Sijacheka wiki nzima lakini hii imemaliza mfungo.
 
Alowh! Hii inafurahisha, nadhani hata wahusika waakiona watacheka.

Jamaa yuko fiti kweli kasima kwenye stuli kwa mguu mmoja!
 
Tusichague rais mwenye drip hasara kwa taifa.
 
Mficha uchi hazai natumaini iko siku maradhi yanayofichwa yatajulikana tu
 
Naomba kuelimishwa juu ya hili,hivi kuna utaratibu/sheria ya mgombea Urais kupeleka ripoti ya afya yake katika tume ya Uchaguzi ili kujua kama mgombea yuko fit?kama haipo,hii si ni hatari kwa taifa kiuchumi na kiusalama wa taifa!

Kwa maoni yangu kiongozi wa ngazi ya juu kama rais,ni muhimu akawa na afya nzuri japo kuna maradhi mengine madogo madogo ambayo hata kama akiwa nayo hayato muathiri sana katika utendaji kazi.Hii ni kwa sababu Rais akiwa mgonjwa kila wakati,rasilimali nyingi itatumika kumtibu kutokana na nafasi yake.Pili Rais aliyechaguliwa na wananchi ananguvu zaidi ya kuwaunganisha wananchi na mara nyingi huwa na anakuwa na ushawishi kwa viongozi katika serikali ,watumishi wa uma na binafsi na wananchi kwa ujumla.Ikitokea kwa sababu ya maradhi raisi akaondolewa katika nafasi yake au kwa maradhi yale tukampoteza na nafasi hiyo kuchukuliwa na makamu wake,kuna uwezekano mkubwa wa serikali kuyumba,kutokana na nguvu ndogo ya ushawishi kulinganishwa na Rais wa kwanza,ni hatari kwa usalama wa taifa.Ingawa yawezekana rais mpya akawa na ushawishi mkubwa na kukubalika kwa wananchi pia.

Why taking risk?
 

Vile vile kuwe na sheria ya kumpima mgombea yeyote wa nafasi ya urais kama ana afya ya akili!!
 
:becky: hii ni kali kinoma, naona mgombea wetu kaamua kutembea na mobile hospital - kweli huyu mgombea anaweza kulitia hasara taifa kwa uchaguzi mwingine kabla ya miaka muda wake kuisha, watch-out guys!
!
 
Vile vile kuwe na sheria ya kumpima mgombea yeyote wa nafasi ya urais kama ana afya ya akili!!

Na majibu yatangazwe kwenye vyombo vya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…