TUCHAMBUE HIZI MECHI ZA 8/9/2018

Gangplus

Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
69
Reaction score
65
Tuwe serios katka mechi 12 Tupate hata sita(6) wanamichezo Tupo wengi TUMECHOKA KULIWA KAULI MBIU

(1.)Sunderland - Fleetwood ??

(2.)Lincoln city - Crawley town ??

(3.)Blackpool - Bradford City ??

(4.)Scunthorpe - Rochdale AFC ??

(5.)Accrington Stanley - Burton Albion

(6.)Doncaster Rovers - Luton Town ??

(7.)Gillngham - AFC Wimbledon ??

(8.)Southend Untd - Peterborough ??

(9.) Oldham Athletic - Newport country

(10.)Switzerland - Iceland ?

Katika Hizi kumi Kila Mtu Ataje Tatu Au Mbili zake anazoziona Iyo siku Muhindi tumpige Mande mfano me: (4.) Draw (1.) Home win ivo yaani
 
Mkuu ingekua safi kama ungepeleka wazo hili kule kwenye uzi wa wazee wa kuweka mizigo au kubet,kuke idea ni kibao
 
Je unachagua mshindi tu au inakuaje ? nielewesheni kidogo
 
Jaribu kitu iyo, Usije ukanita mchawi tu lakini baadae.

.)Sunderland - Fleetwood

(2.)Lincoln city - Crawley town

(3.)Blackpool - Bradford City

(4.)Scunthorpe - Rochdale AFC

(5.)Accrington Stanley - Burton Albion

(6.)Doncaster Rovers - Luton Town

(7.)Gillngham - AFC Wimbledon

(8.)Southend Untd - Peterborough

(9.) Oldham Athletic - Newport country

(10.)Switzerland - Iceland
 

Haaa umetishaaa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…