Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple sana kuelewa hii; Shida ni urefu wa huyo twiga, risasi ilipigwa juu kuashiria kuanza kukimbia lakini Kwa bahati mbaya ikamkuta aliyeko juu(twiga mwenye shingo ndefu) na papo hapo twiga akadondoka na kukata moto......Bila shaka Kuna kitu Cha kujifunza kupitia picha hiiAliyeielewa hii[emoji1787][emoji1787]View attachment 2793851
Son-in-law
Kudos,Simple sana kuelewa hii; Shida ni urefu wa huyo twiga, risasi ilipigwa juu kuashiria kuanza kukimbia lakini Kwa bahati mbaya ikamkuta aliyeko juu(twiga mwenye shingo ndefu) na papo hapo twiga akadondoka na kukata moto......Bila shaka Kuna kitu Cha kujifunza kupitia picha hii