Tuchangamshe Akili : Tupia picha yenye Fumbo/code, Wajanja Wafumbue.

Hiyo ya triangle of sadness natamani ufafanuzi.
 
Aliyeielewa hii[emoji1787][emoji1787]
 
Aliyeielewa hii[emoji1787][emoji1787]View attachment 2793851
Simple sana kuelewa hii; Shida ni urefu wa huyo twiga, risasi ilipigwa juu kuashiria kuanza kukimbia lakini Kwa bahati mbaya ikamkuta aliyeko juu(twiga mwenye shingo ndefu) na papo hapo twiga akadondoka na kukata moto......Bila shaka Kuna kitu Cha kujifunza kupitia picha hii
 
Kudos,
Anything too much can be harmful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…