Tuchekee: Maswali na majibu ya kuudhi

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Swali: Hivi nini kimemuua marehemu?
MFIWA: kifo
 
Tupia swali na jibu la Kuudhi ulilowahi kusikia. ...mimi nimechokoza tu
 
Ni saa tano (5) ucku mtu anakupigia cm na anakuuliza umelala, unatakiwa kumjibu kuwa unaotea jua!
 
Mko maskani na washikaji usiku halafu askari wa msako wanapitia na kuwauliza.
"Vijana mnafanya nini gizani?"
Wewe kwa ujuaji wako unajibu," Mkuu kwani hapo ulipo ni mchana?"
 
Gari lako hali taa moja ya mbele. Askari wa trafiki anakusimamisha.
Askari: wapi taa?
Dereva: Ndio napita mkuu.
 
Asubuhi unaondoka home.

Wife anaona unaondoka : anakuulizaa mme wangu ndio unaondoka?

Jibu :Hapana nnarudi
 
Mtu anakuuliza marehemu anazikiwa wapi unamjibu Kaburini anakasirika.
 
Sisi: kasi hii ina tishaaa
Wao:Tulikuwa hatujui kumbe tumechagua ukawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…