Tuchukulie nimenunua gari la Millioni 20 na sijajenga,

HIZO ZINAITWA AKILI MGANDO NA HUTAKUJA KUFANIKIWA MAISHANI ZAIDI YA MAJUTO NAADAE
Kama wewe wapo wengi mkuu wanajuta tu siku hz
 
watu wanasema ni mambo ya vipaumbele na duniani hamuwezi fanana akili.
 
Ukombozi wa maisha yako utaanza pale utakapojua kuwa wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako.....umakini na umahiri wa kupiga makasia ndio vitakufikisha pwani salama!!!.....

Maoni ya watu na utashi wa watu wengine haviwezi kuyaongoza maisha yako vyema pasi na busara zako kwenye kufanya maamuzi na kuwajibika na matokeo ya maamuzi yako!!!....

Hatupo duniani kuwafanya watu wafurahie Matendo yako bali kwa wewe kuwa makini na matendo yako yasije kuyaangamiza maisha yako!!!....

Think big take control of your destiny
 
unakimbia na pesa ya rambirambi unaenda nunua gari na umepanga.
 
bora gari kuliko mjengo; hata ukikosa hela ya kodi,utalala kwenye mgari wako
Na consider nyumba. Usafiri upo all the time.. ila nyumba ni heshima sana. Kwanza inakupa kujiamini, unakuja muda unaotaka ..unatoka muda unaotaka na hakuna wa kukuuliza.
Yaan hata ndugu wakija kukutembelea ni heshima.

Inshort inakupa security..

Hakuna baba mwenye gari..kuna baba mwenye nyumba
 
Wengine hatuoni ubaya wowote ule, hela zako, ulivyotafuta sisi hatukuhusika kabisa, enjoy gari lako mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…