OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wanaishi umagufuli halafu wanamtukana, kauli yangu vice president sio sehemu ya serikali? Bila Magufuli Samia angekuwa hapo? Timizeni Kwa watanzania ubnafsi si vema, kawaongezea mshahara wanajeshi tu labda na majeshi mengine, ni aibu sana sanaTUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana
Pole ya nini, naambao hatunakazi tunafanya mishe zetu namambo yanaenda!!!.Poleni na inasikitisha sana...
Acha uzwazwa una mapori ya kurithi unataka na wenzio wakavamie mapori tengefuPole ya nini, naambao hatunakazi tunafanya mishe zetu namambo yanaenda!!!.
Achakuwatia ujinga,mapori yamejaa kibao morogorotu hapo.
Waache kazi wakalime wengine watakuja kufanya.
Basi endeleeni na ujinga huo wakuombaomba nyongeza kila mwaka.Acha uzwazwa una mapori ya kurithi unataka na wenzio wakavamie mapori tengefu
Sekta binafsi wameisahau na ndiyo iliyoajiri watanzania wengi.
Ni kweli JWTZ peke yao ndiyo wameongezewa mishahara pasipo longolongo ..sa100 ni kiongozi wa genge la wahuni huo ndiyo ukweli kamili....mimi nilisema uchumi umeporomoka kwa asilimia 60% toka sa100 kuchukua nchi watu wanabisha kwa kudanganywa na wahuni wa chama na serikali kuwa makusanyo ya mapato ya mwezi kwa mwezi yanaongezeka kuliko kipindi cha JPM ...wakati kwa sasa serikali inategemea mikopo hadi kulipa mishahara . Tukifika 2024 uchumi utakuwa umekufa kabisa tayari mama kakopa zaidi ya marais wote hapa tzWanaishi umagufuli halafu wanamtukana, kauli yangu vice president sio sehemu ya serikali? Bila Magufuli Samia angekuwa hapo? Timizeni Kwa watanzania ubnafsi si vema, kawaongezea mshahara wanajeshi tu labda na majeshi mengine, ni aibu sana sana