Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Jana kwenye vyombo vya habari TUCTA wamejitokeza na kudai katiba mpya na kusema hiyo ni haki ya wafanyakazi ambao wao wanao wawakilisha na ya kuwa hawataki kuona katiba iliyopo ikiendelea kuwekwa viraka......................