Rutashubanyuma JF-Expert Member Joined Sep 24, 2010 Posts 219,468 Reaction score 911,184 Dec 25, 2010 #1 Jana kwenye vyombo vya habari TUCTA wamejitokeza na kudai katiba mpya na kusema hiyo ni haki ya wafanyakazi ambao wao wanao wawakilisha na ya kuwa hawataki kuona katiba iliyopo ikiendelea kuwekwa viraka......................
Jana kwenye vyombo vya habari TUCTA wamejitokeza na kudai katiba mpya na kusema hiyo ni haki ya wafanyakazi ambao wao wanao wawakilisha na ya kuwa hawataki kuona katiba iliyopo ikiendelea kuwekwa viraka......................
Nanren JF-Expert Member Joined May 11, 2009 Posts 3,135 Reaction score 3,392 Dec 25, 2010 #2 Toothless TUCTA!