TUCTA washindwa kuandaa mgomo hata mmoja!

Halafu nashangaa jinsi jaji alivyojipinga mwenyewe, anasema mgomo huo ni kinyume cha sheria, na bado anaamuru wafanyakazi warudi kazini bila kupewa adhabu yoyote kutokana na mgomo huo! Kumbe mtu akivunja sheria anaachwa tu? Nani atafidia hasara waliyopata NMB na wateja siku hiyo ya mgomo? Jaji anaogopa nini hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…