Naona umepita kichwani kwangu ghafla kulikwapua hilo wazo mkuu. Huo ndio ukweliUkiacha nyimbo za mondi. Huyo tudd hakuna kitu.
Nahreel mkare bana
mkuu ushasahu kuwa Tuddy ndio alifanya wimbo wa Marlaw Bembeleza,Beep beep na nyingine kibao za Barnaba na wenzie wa T.H.T miaka hiyoUkiacha nyimbo za mondi. Huyo tudd hakuna kitu.
Nahreel mkare bana
Nyingine za tuddmkuu ushasahu kuwa Tuddy ndio alifanya wimbo wa Marlaw Bembeleza,Beep beep na nyingine kibao za Barnaba na wenzie wa T.H.T miaka hiyo
Waache watoto hao... wanamjua Kiba na Di tu.mkuu ushasahu kuwa Tuddy ndio alifanya wimbo wa Marlaw Bembeleza,Beep beep na nyingine kibao za Barnaba na wenzie wa T.H.T miaka hiyo
Bongo hapa bado hawajamfikia P funk majani, nakumiss sana mkubwa rudi utupe radha
umeongea point sana, nyimbo ni nyingi ila wasanii ni walewale, ubora wa nyimbo zao (audio) ndio umewapeleka kimataifa au ni ubora wa video?Producer wa WCB Vs Producer wa WEUSI ..... haha natania tu.
Mkuu acha kuishi kwa historia mkuu, toa majibu kwa swali lililoulizwa.