Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

Aloo hata mkisisitiza inauma? Maana hata baada ya tendo husema anahisi maumivu
Basi una mtalimbo mkubwa unamuingizia mwenzio wote wakati huo yeye kina chake kifupi..!!

Au inawezekana pia akawa na maambukizi kwenye via vya uzazi..!!

Pia wewe humuandai vya kutosha na unatumia nguvu nyingi ku pump..!!
 
Mod wa jana mchana alikua mlokole, kelele akeeeee kwa mod wa usikuuuuuuuuπŸ˜€πŸ˜€
Ila huu uzi watu wameenda kutiana sana, sijui uliwaza nini we bintiπŸ™ŒπŸ»πŸ€£πŸ€£
😹😹😹 Naona na uzi wako umerudi ila umefungwa hakuna ku-comment..!!

Watanzania tunyime vitu vyote sio mapenzi..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…