Kitokoo
Member
- Jul 3, 2019
- 52
- 135
Mashabiki wengi tanzania hawana ufahamu juu ya maswala ya jezi za mpira na makampuni yakuteng’eneza jezi hizo.
Kupitia uzi huu tutaeleweshana kuhusu maswala ya jezi na makampuni.
Timu inatakiwa iwe na jezi za tatu jezi ya nyumbani na mbili za ugenini.
Jezi ya nyumbani mara nyingi imetawaliwa na rangi kuu ya timu mfano Simba na Manchester United jezi zao za nyumbani ni nyekundu.
Jezi ya pili ya ugenini mara nyingi jezi hizi hutawaliwa na ya pili ya team mfano Simba rangi yao ya pili ukitoa nyekundu ni nyeupe Manchester United rangi yao ya pili ni nyeusi.
Jezi ya ya pili ya ugenini (third kit)jezi hizi mara huwa na rangi ambayo sio za timu husika.