Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

Tueleweshane kuhusu uhamisho ESS

Ema Jackson

Member
Joined
Apr 6, 2024
Posts
16
Reaction score
18
Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.

Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.

IMG_20240412_151513.jpg
 
View attachment 2961611
Mbona me nmeshahama??huo mfumo unazingua Mimi nilichofanya ni kuita fuso nikapakiza mizigo yangu.
Safari ikaanza toka chanika Hadi mbagala.
Tumia njia yangu utahama kirahisi sana!!!
 
Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.

Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.

View attachment 2961611
Apo wapigie cm utumish
 
Attachments

  • A02DD0E5-ACDD-4A7F-BD93-A0CB1248C4BB.png
    A02DD0E5-ACDD-4A7F-BD93-A0CB1248C4BB.png
    592.2 KB · Views: 48
Naomba tujuzane kuhusu UHAMISHO status ina soma kama ambavyo mishale inavyoonyesha ni miezi saba sasa mwenye ufafanuzi juu ya hili.

Vipi pia kuhusu wewe uliyeomba transfer status yako ikoje kwenye mfumo huu, au kama kuna mtu amefanikiwa kuhama kupitia mfumo atupe uzoefu kidogo juu ya status hizi.

View attachment 2961611
Umejaribu kuwapigia sim???
 
Labda mwezi wa 6 ndo watawapen vibali vya uhamisho, halafu naskia na kibali kinatumwa humohumo kwenye account yako ya ess labda tuombe watu waje watupe ushuhuda juu ya upatikanaji wa kibai
 
Tamisemi wamekuwa na kuburi mpaka sio poa na huu uhamisho wa system watu watahenyeka sana
 
Back
Top Bottom