Nililipa hiyo fee ya 20000/ kama new registration ya kampuni name lakini kila siku wananiambia nibadilishe jina...nikibadilisha jina na kuangalia majina yanayofanana wala hazifanani kwa vile. Tokea mwaka jana August adi sasa. Nawaona Brela kama wapuzi flani hivi.
Nikaenda adi hapo Brela ofisini Posta lakini nikapata majibu ya kipuuzi kweli.
Nikaenda kwenye komputa zao hapo nikakuta kuna vijana wawili na komputa zipo zaidi ya 20 na wateja ni wengi wahudumu wa hizo computa ni wawili bado wanaleta upuzi hawa Brela.
Ilibidi nirudi tu mkoani bila jukanilisha usajili...juzi kati hapa ndoa wananitumia sms kua account hii itafutwa usipofanya marekebisha. Nikaingia nikafanya walivyosema bado upuuzi tupu ....simu ukipiga hazipokelewi.
Brela wabadilike jamani. ..Brela wanatengeneza nhia ya kutaka washikishwe pesa ndo watoe hizo kazi. Tutaingia hapo ofisini very soon ...mtashikishwa pesa za rangi shauri zenu