Tuelezane.....

Tuelezane.....

Dr Lizzy

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
31,009
Reaction score
60,629
Baada ya kusikia malalamiko kuhusu hili mara kadhaa nje na ndani ya JF naomba niwaulize nyie wakaka...wababa na waume watarajiwa kwa baadhi yetu(lolzzzz) je ni kweli hamtaki/penda tunapovaa Push-UP bras wakati kifua kipo tumboni?!Au high-waisted skirt and pants kushape viuno vyetu japo wengine hatuna viuno au tuna vijitambi?!

I mean seriously guys...should we walk around with our saggy floppy bobies and our belly fat all over the place so that you know WHAT‘S RELLY THERE beforehand?!Maana malalamiko mengi yanasema mnaaminishwa mengi alafu ukishajitosa mtoto wa watu unakuja kuta mambo sio mambo!!

Naomba muwe wa kweli kwa faida yetu na yenu pia.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Bora mvae kawaida ili tangu mwanzo nijue ulivyo kuliko kunimisslead nikadhani uko kifaa cha nguvu then bidae nikagundua sio. Endapo nitakufuata nikijua ulivyo tangu mwanzo inamaana ntakuwa nimekupenda ulivyo na hayo ma fat belly na floppy bobies kuliko kuja kugundua badae kwamba nivyodhania uko siyo hivyo coz itanilazimu nisepe fasta
 
Napenda uwe real!Ili nisije nikadhan saa sita kumbe saa tano usiku,kama nikiona saa tano usiku nitajiuliza na kama nikiamua kuja nitakuja nikijua kuwa ni saa tano usiku,jikubalini kama mlivyo!
 
Kwa hiyo we wapenda maungo!! mwe kazi tunayo........so tupite barabarani mwe hata sijui niulizeje.

haya baba umesema umesikika.
 
Hahahahahah
utaona na mmoja wao
ataleta thread kama hii
kutukaba mmmmhhhh

sante lizzy mwahego
 
Napenda uwe real!Ili nisije nikadhan saa sita kumbe saa tano usiku,kama nikiona saa tano usiku nitajiuliza na kama nikiamua kuja nitakuja nikijua kuwa ni saa tano usiku,jikubalini kama mlivyo!

Mi nafikiri hivi ni vitu vidogo sana kwenye mapenzi.........huwezimfuata mtu ukampenda kwa kuwa ni mnene na floppies kama MJ1 hapa unless unataka kuhit- and- run. Najua utasema kuwa ni full package yes but mh sidhani kama ni kigezo. Tuacheni tuvae na kujiweka vile ambavyo nafsi zetu zinapenda jamani. eh leo kazi (Hapa MJ1 anatetea maslahi yake binafsi Lizzy usione nashkia bango ama sivyo na hili belly ntakosa soko mwe!!)
 
zile push up bras mi nazifagilia, zinawasaidia kuonekana mnavutia wakat mna makandambili vifuani...
mwanamke urembo bana, mi wangu avae vyovyote ili mrad ananivutia na asitembee nusu uchi.
 
Mwanajamii unatakiwa uwe real bwana,kuwa real kuna raha yake,kwanini ujikopi?Jiamini!!
 
Mi nafikiri hivi ni vitu vidogo sana kwenye mapenzi.........huwezimfuata mtu ukampenda kwa kuwa ni mnene na floppies kama MJ1 hapa unless unataka kuhit- and- run. Najua utasema kuwa ni full package yes but mh sidhani kama ni kigezo. Tuacheni tuvae na kujiweka vile ambavyo nafsi zetu zinapenda jamani. eh leo kazi (Hapa MJ1 anatetea maslahi yake binafsi Lizzy usione nashkia bango ama sivyo na hili belly ntakosa soko mwe!!)

MJ1 ni bora uwe kama ulivyo maana ukionyesha uko kigoli sana then jamaa akute tofauti utampaa maswali mengi na pengine ahadi zote akunyang'anye na asepe kimoja.
 
Ah niwe really!! Belly imeangukia hadi nkitaka kufikia kisima nahangaika kulinyanyua, hafu niwe real barabarani??.........ah hapana baba pita tu ukawatafute walio real ambao wengi wao ni wale wenye maumbo mazuri mwaya.
 
MJ1 ni bora uwe kama ulivyo maana ukionyesha uko kigoli sana then jamaa akute tofauti utampaa maswali mengi na pengine ahadi zote akunyang'anye na asepe kimoja.

Lily Flower
nakubaliana nawe....................si kuwa kigori sana bana angalau kupunguza mtisho loh
 
Mi nafikiri hivi ni vitu vidogo sana kwenye mapenzi.........huwezimfuata mtu ukampenda kwa kuwa ni mnene na floppies kama MJ1 hapa unless unataka kuhit- and- run. Najua utasema kuwa ni full package yes but mh sidhani kama ni kigezo. Tuacheni tuvae na kujiweka vile ambavyo nafsi zetu zinapenda jamani. eh leo kazi (Hapa MJ1 anatetea maslahi yake binafsi Lizzy usione nashkia bango ama sivyo na hili belly ntakosa soko mwe!!)

Hahahha....ikibidi hata kuandamana!!Sijui kama hawa wazee waliojibu mpaka sasa hivi wako siriaz au basi tu wanafurahisha jamvi....?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
mi naamini wengi tunaopishana nao kwa road sio maumbo yao halisi, wengine vitambi vikubwa, wengine makalio ya kujaladia, wengine matiti ya kufoji, nywele za extension, nyusi za kubandika, eye lenses za kupachika, lips za botox, n.k..huo ni urembo, bado sijaona ubaya wake.
 
Just be yourself lizzy you'll be ok but don't forget to be
juicy, tasty, softy, smiley and icy not only that but also
be smart, gorgeous, pleasing, stunning, erogenous,
stimulating, hot, exquisite, stylish, sensual, spicy,
attractive, hot, amatory and erotic.

Well, I hope this is pg13 so I'll stop here.
 
Back
Top Bottom