Tuelezane.....

sasa hapo ndo unapokuja umuhimu wa artificials, vingine hapo kama hujazaliwa navyo itabidi uvipate kupitia njia nyingine za urembo....honestly, very few women have these features u have mentioned kama wasipotia madoido.
 
Mapenzi kitu cha ajabu acheni bandugu...kila mtu ana perception yake kwa lolpop wake....by the way kwa tusokubali kuuziwa mbuzi kwenye gunia lazima tutakua tumeishafanya inspection hivyo basi baada ya kuridhika na bidhaa ata akiweka nembo ya bajai akati yeye ni toyo it doesnt matter..
 
Push up bras nazifagilia kwa kuwa bibie (I mean my wife wangu) anaonekana smart kwenye kadamnasi,mambo mengine ya kanda2 etc tunafahamiana huko kwenye faragha zetu.
 
dahhhh
nahakika unaweza kuwa hivyo
vyote lakini vipi kama huna furaha?
kwa kweli furaha yetu sisi wanawake
Yatoka ndani lakini tunafurahi zaidi pale tukipendeza...
kwa hiyo navyoona happiness
kwanza nakama hiyo inakuja
kwa sisi kuva pul ups... then mbele
kwa mbele
 
Acheni uongo jamani. Mnajua kabisa hiyo real mnayoitaka ni kidogo sana. Na mbona kama kweli mnataka real hamwendi huko vijijini/umasaini mkachague wale real ambao hata kuvaa nguo kwao ni ndoto?
 
hata kama maziwa ni saa sita ni vizuri kuvaa bra sbb ukivaa blauzi tupu unajihisi kama uko uchi sbb ncha za chuchu zitatokeza sana,
vile vile kwa maziwa yaliyoanguka ukivaa nguo bila bra haitakaa vizuri,
mmama aliyezaa akivaa spanx anapendeza zaid maana inamsaidia kubana tumbo,na anapendeza zaid ya yule aliyeachia tumbo lininginie.
najua ntaonekana wa ajabu lkn kusema ukweli kutoka natural au real kwa 100% haiwezekani,sijasema mtu upake mkorogo au uvae makalio bandia ili upendeze.
mim nadhan sisi wanawake hatuna haja yakuwauliza wanaume watupe ruhusa yakuvaa bra au tusivae bra.
mim ninachojua wanaume mara nyingi huvutiwa na muonekano kwanza,then kama ni mwenye lengo la uhusiano wa muda mrefu ataangalia tabia zako,kama ameridhika na tabia zako hata akienda kukuta kuwa alidhani ni saa sita lkn ni saa 10 hatajali sana sbb si kila siku wanasema uzuri wa mwanamke ni tabia si sura.
lkn trust me ukitembea bila bra miziwa ininginie huku mtumbo umetokeza kama mjamzito kisa umeshauriwa uwe real hakuna atakayekutizama mara mbili kujua una tabia nzuri au la.
mwanamke lazima ujikeep fresh hata kama umeolewa na mumeo anajua yalishalala siku nyingi ukitoka bila bra ntakuona hujipendi tu.
na kuvaa bra na spanx sio kwa sbb ya kudanganya wanaume kuwa ww ni kigori ni kwa sbb yakujipendezesha tu.
 
Mbu hazipendi unakumbuka ile thread yake? mie napenda wale wenye matiti madogo ndio watumie hizi, utakuta bibie ana matiti makubwa sana bado anapush hapa huwa naonaje sijui
 
Mimi sura huwandoo zinanzinguaga baadaye sana ndo nagundua kumbe ww ni mfupi au unatumbo mguu wako sio kivile ,mwanamke mwenye sura ya mvuto huwa anadroo atention yangu
 
Ahsante mangala umesema vizuri sana
 
Mimi sura huwandoo zinanzinguaga baadaye sana ndo nagundua kumbe ww ni mfupi au unatumbo mguu wako sio kivile ,mwanamke mwenye sura ya mvuto huwa anadroo atention yangu

Aiseee..,ngoja niongeze layer ya makeup!!
 
Mbu hazipendi unakumbuka ile thread yake? mie napenda wale wenye matiti madogo ndio watumie hizi, utakuta bibie ana matiti makubwa sana bado anapush hapa huwa naonaje sijui

Push-ups ni mahususi kwa wale ambao yamelegea...madogo au makubwa.Kazi yake ni kuyarudisha kwenye hali ya kuonekana bado yapo yanapoTARAJIWA kuwepo.Hao wanaozidisha matumizi ni makosa tu wanafanya....maana wengine wanayabana mpaka yanatisha alafu anaachia sehemu yote ya mbele wazi.
 
Push up bras nazifagilia kwa kuwa bibie (I mean my wife wangu) anaonekana smart kwenye kadamnasi,mambo mengine ya kanda2 etc tunafahamiana huko kwenye faragha zetu.

unajua nini ulimakafu,
kiukweli huwa wanapendeza wakivaa hivyo vitu vyao,
sijui ma bra,spanx etc,
na wanadraw kweli tension kwetu sie ambao tunapenda maumbile hayo.
Ila tatizo linakuwa kwamba, urembo huu ni very temporal,
kwa maana ukivutiwa nae njiani, ni tofauti na jinsi,
utakapomwona ukiwa nae faragha,

Sasa ndo linakuja swala la matarajio na uamuzi kwa mwanaume,
kama ulitaka hit & run au ulitaka permanent r/ship!!!!!!!!!!
uamuzi ni wako mwenyewe.....................
Karibuni tupate kahawa akina dada............
 
Na hapo naona wengi ndo lengo lao,
sijui ndo fasheni sasa hivi....lol.........
 
yaaani kama vile toothpick ikimchoma kwa glafla yanapasuka huwa naangalia sana lizzy
 
Reactions: Mbu
yaaani kama vile toothpick ikimchoma kwa glafla yanapasuka huwa naangalia sana lizzy

Hahahhaha....wanatisha!Ila wakaka wanadata hivyo hivyo!
 
Sababu huwa sura ndo inanzingua kuna dada tulipokuwa faragha akavua braa jamani maziwa yalifunguka kama zulia yalikuwa yamepigwa jeki ya ukweli!wat wil it cost u gals to remain real
 
Sababu huwa sura ndo inanzingua kuna dada tulipokuwa faragha akavua braa jamani maziwa yalifunguka kama zulia yalikuwa yamepigwa jeki ya ukweli!wat wil it cost u gals to remain real

:biggrin1::biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…