Tuelezane.....

Bora mwanamke awe jinsi alivyo..

Maana unaweza kuwa na bonge la appetite na mwenzio kumbe

nyonyo ipo kitovuni we unadhani saa sita lol

but all in all mimi mradi mwanamke asifoji wowowo tu lol
 
Bora mwanamke awe jinsi alivyo..

Maana unaweza kuwa na bonge la appetite na mwenzio kumbe

nyonyo ipo kitovuni we unadhani saa sita lol

but all in all mimi mradi mwanamke asifoji wowowo tu lol

Hivi kweli mnataka tutembee vifua vimening‘inia au mnatania?!
 
Bora mwanamke awe jinsi alivyo..

Maana unaweza kuwa na bonge la appetite na mwenzio kumbe

nyonyo ipo kitovuni we unadhani saa sita lol

but all in all mimi mradi mwanamke asifoji wowowo tu lol
Wewe ni noma kwa wowowowowow
 
Ah niwe really!! Belly imeangukia hadi nkitaka kufikia kisima nahangaika kulinyanyua, hafu niwe real barabarani??.........ah hapana baba pita tu ukawatafute walio real ambao wengi wao ni wale wenye maumbo mazuri mwaya.
:dance:Haimaniishi kila mtu anapenda saa sita!kuna wengine wanapenda kubwa zilizolala!sasa sasa ukizinyanyua si utapishana na hao?kua Real saa nyingine ni muhimu!After all uzuri wa umbo ni jinsi tu mtu anavyo penda bibie!:A S 103:
 
Nimekuelewa Ole Tetian ndugu yangu lakini mpaka upende hii saa kumi na mbili yangu ya jioni ni lazima uwe umeanzia mbali..my point ni kuwa hadi unakujanikagua\nakusasambulia kuna vigezo vingine muhimu umepitisha........ingekuwa hivyo sidhani kama wababa wangeona aibu kutoka na wake zao ambao wameshazaa na kujiachia.
 
Ha ha ha !sasa kama mtu anaona aibu kutoka na mke wake si inamaan hata yeye binafsi anajionea aibu?hii kali mwanajamii1
 
Ha ha ha !sasa kama mtu anaona aibu kutoka na mke wake si inamaan hata yeye binafsi anajionea aibu?hii kali mwanajamii1

...Unadhani ndugu yangu?? ..........we ukianzasikia waambiwa .........Mama Chanja hivi huwezipata nguo kama ya mke wa flani?, juzi kapendeza!! Ujue kinachosemwa hapo si nguo bali mwonekano mzima. Nakumbvuka mie na jiumbo langu hili nlishaambiwa ...haya mama kitenge hicho nenda kwa fulani nishamwelekeza mshono utakaokupendeza.....mie nkatia mh!! MJ1 na vitenge wapi na wapi?? Nkatii, nkaenda.... .ama!! mshono wenyewe kata mabega wa kuvalia pasipo bra ya mikanda -MJ1 jeki ya bila mikanda haikubali!...mshono skirt imeshika hips na wowowo..MJ1 hana hips na makalio yenyewe ni ya "Embu"...........mbona siku ya shughuli nliumwa!

Ila nikiangalia huyo "mke wa Fulani" ninayefananishwa naye mh simfikii hata nukta.
 
wowowo la embu ndio liko vipi?????????
 
Kuna siku nimepanda elevator na mdada mmoja yaani jinsi ambavyo alivyokuwa amepiga jeki boobs zake zilikuwa zimekaa kama vile mpira wa Basketball.
 
wowowo la embu ndio liko vipi?????????

The Boss usinambie hulijui............ kama yale ya wadosi kaka yangu!! sasa nambie ukavae kitu kinachoshika kuanzia kiunoni hadi magotini kisha magotini kinachanua.........si kutafuta kuumbuana?.....ah niliumwa mwenzangu na mpaka leo kipo kwenye sanduku .............naogopa kukigawa kwa sababu zawadi haigawiwi!!
 
Kuna siku nimepanda elevator na mdada mmoja yaani jinsi ambavyo alivyokuwa amepiga jeki boobs zake zilikuwa zimekaa kama vile mpira wa Basketball.

Kama la Mamaa Mashauzi .............lol kama nakuona ulivyoyakodoa machoyo The Finest!!
 
siyajui kwa kweli?
halafu i was under impression kuwa una bonge la wowowo...
duh kumbe ..................
 
ha ha ha,....umenichekesha sana Lizzy!
Vaeni lolote mnalojiskia linawapendeza.

Msijali maneno yetu watazamaji.
Muhimu wewe mwenyewe unajiskiaje?
kama unajihisi kituko, then do something,...ha ha ha...
 
nguo zingine tunajichoresha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…