TUELEZEE KUHUSU RAFIKI YAKO MUHUNI KUZIDI WOTE

Kwa uhuni wangu sidhani kama kuna rafiki yangu anaenikuta.

Labda Kadopee anaevuta ganja kama fegi, yani hajifichi anavuta huku anaranda randa mitaani, kwake kawaida tu kumoka hadharani.
 
Mfutio umeibwa darasani kwademu mwanafunzi na mwalimu wa darasani alikuwa mwanamke. Tukaitwa kusachiwa mifukoni wakati huo kijijini hatuvai chupi. Bahati mbaya mfuko wa kaptura wa rafiki yetu ulichanika, mwalimu wa darasa kuingiza mkono mfukoni akashika nyoka. Jamaa kachapwa bakora hadi huruma.
 
kuna jamaa mmoja form four classmate, sisi tumetoka kijijini, yeye laitoka mjini na amesoma akiwa mtu mzima, siku moja tumeenda kwenye mto karibu na shule tumetoroka kwenda kuogelea, yeye akajificha kuoga chini sisi juu, sijui ilikuwaje tukaenda tukiogelea hadi kwake, kumkuta amevua nguo halafu ikawa ngumu kujificha nguo aliweka mbali, kuchuchumaa noma manake alijua sisi tunapokuja tukiogelea kwa chini labda tunamkimbia ticha, dah, kumwangalia mbolo aisee imelika ina makovu balaa. wacha tushangae, aisee vipi....haahahaha, kumbe jamaa lishaliwaga na liugonjwa gani sijui la zinaa huko kwao....tulishangaa sana aisee.
 
Kumbe wewe ni demu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haha hujaona wahuni. Man...

Kuna mtu anaitwa Kaini. Jamaa alimuua ndugu yake then MUNGU anamuuliza. Anamjibu kwani mimi mlinzi wake?




Mwanzo 4
8 Kaini akamwambia Habili nduguye, [Twende uwandani]Ikawa walipokuwapo uwandani,Kaini akamwinukia Habili nduguye,akamwua.

9 Bwana akamwambia Kaini, Yuko wapi Habili ndugu yako? Akasema, Sijui, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?
 
Nikiwa form two mwaka 2008 tuna mchizi wetu anajiita kreka, kreka hatari sana kawasuuza karibu robo tatu ya wasichana shule na shule nyingine za jirani mixer waalimu haipiti siku bila kreka kumkaza mtu na siku ikiwa imepita anawezakuwa amelala anakwambia siwezi kulala anaamka hata saa tano anaenda kutafuta nya*u ndio aje apate usingizi.demu mgeni tu akija shule lazima kreka amzindue
 
Naamin ganja hajaacha
 
Kunamshikaji seminary alikua anachanganya sukarii na amira na maji kila j3 kwenye dumu la Lita tano,ikifika ijumaa nglloma unajua ishakua pombe,jamaa kila weekend alikua anawaka balaa!!baadae alianza kuchanganya spirit..kwa bahati mbaya alikuja kufa kwa sababu ya mixhanganyiko yake...utumbo ulikatika...rip Walter fadhili...!!
 
Kuna class mate wangu o level alikuwa mtata sana sijapata ona. Hakuna mwanafunzi au mwalimu aliyekuwa na ubavu wa kumchapa au kumpa adhabu maana mziki wake lazima uhame au uache shule.

Kwa bahati mbaya sana hakuwa na akili kichwani .siku za mitihani alikuwa anatafuta mwanafunzi kichwa alipokaa na kukaa jirani naye na kumpa maelekezo kuwa akiwa anaandika asifunike wala kuficha kazi yake.

Jukumu lake lilikuwa kucopy na kupaste kuanzia swali la kwanza hadi la mwisho huku akiona haoni vizuri anasimama na kuchungulia huku mwalimu anayesimamia mtihani akiwa hana la kumfanya maana kumsema tu kuwa unafanya nini hicho baada ya mtihani unatakiwa kujifungia ndani na hakuna mwalimu alikuwa na ubavu kumpa suspension.

Matokeo yake alikuwa anapata alama sawa na mwanafunzi aliyekuwa anacopy kwake na mwalimu unayesahihisha hana ubavu kumpunja marks tofauti na marks za mwanafunzi anayekopy kwake somo husika.

Aliendelea hivyo hadi form four. Kwa bahati mbaya form four tulisimamiwa na polisi hivyo hakupata nafasi hiyo tena na matokeo yake ya mtihani alipata zero.
 
Kuna mshikaji wangu aliitwa wanya u jamaa alikua hatari kwa mademu,yaan demu ata awe India atakuja kwa mshikaj amtafune kala madem wengi San fb,wanatok dar mpaka mwanza,..kuna siku alitafuna madem watatu mi shuhuda,mmoja alikua geto analiwa,mwingine alikua nje anapika,na mwingine nilikua nae sebulen napiga nae story hatari sana,mi ndo nkawaza madem hamnazo,...duh wote wanajuana na akuna anaeleta fujo hahaha uyo jamaa ase,
 
Mm nakumbuka pindi tupo shule kuna jamaaa alikuwa kwake hapik chakula badala yake mtu wa kudundia, yaaaani cjui yule jamaaa alikuwa na machale gani, yaaani unapika mboga, unapiga ugali ile unagudua kuweka kwenye sahani jmaaa huyo, ananawa na mnakula wote, sasa kunasiku tukamkomalia kumnyima chakula, da! Alichokifanya yule jmaaaa mbona alivizia ugali wote akaushika mkononi, wenyew tuli salenda na kuweka mboga chini na kula wote, yule jamaaaa anakupaji c mchezo aiseeee
 
Hahahahaha kwamba rafiki yako ni mpigwa miti mubasharaaaa
 
Hahahahaha kwamba rafiki yako ni mpigwa miti mubasharaaaa
 
...huyu ndo muhuni sasa,kamvimbia mpaka sirGod;
..zingine zote porojo tu!
 
Mi nakumbuka kipindi ndio nimeamia ushirombo sekondari form 3 mwaka 2013 kuna siku nilienda chooni kukojoa nikamkuta jamaa wa form 4 anamfumua marinda mvulana mwenzake wa form nyoya ila baadae jamaa alifukuzwa shule kwa kitendo alichofanya ebanah dah o level ni shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…