Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 17
ina maana wameidiliti kabisa?? au na wamepeleka details big brother??
nieleweshe
Ile mada imefichwa... zile picha na video za Kikwete akianguka zinatolewa na mods wa hii forum. Labda kuna sababu nzuri ya kufanya hilo lakini mimi sijaelewa kabisa.
SD,
Hii mada ya Kikwete kuanguka jangwani itarudi karibuni kwa kasi na nguvu mpya. Kuna habari za ndani kuwa Kikwete ameanguka ikulu zaidi ya mara moja
Stay tuned
Chemistry nimesoma kwa kiwango kikubwa hayo si maji! Ni either ndumba ama tiba mbadala mtu anahutubia kwani anabeba zege awe anasip sip kila wakati?
Bila hiyo glass hawezi kusimama bila kula mwereka! Adumu Sheikh Yahaya!