Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Hapana ushaid wa kila saa upo ingia website yao wanaweka washind na kila namba ya muda huo
Kwaio namba hazitofautian kama ulivosema,hata mimi mwanzon nlihisi ivo
 
Wamnitumia ii msg sijui wsmepata wapi namba yangu,

Zaidi ya watu MILIONI 1 wamevuna BILIONI 12 kutoka BIKO. Kesho 60M kwa watu wa 3. Leo ni MILIONI 300 za papohapo. CHEZA SASA. Namb ya Kampun 505050,Kumb No 2456

Swali la msingi; Je Serikali inachujua kodi ya mapato makubwa ivi
 
si kweli mie nilicheza kama mara 3 naishia ambiwa bado nafasi moja millioni iwe yako nikaona huu ubwege sasa mara 2 zote naambiwa ujinga huo huo
 
Mwezi September walireport kulipa 2.1 b kodi! Hii ilinifikirisha sana! Kwamba jamaa wanapiga super profit!
 
Inatakiwa Waziri husika afute hii michezo maana inawatia Wananchi umasikini, kama kigwangallah alikimbizana na kina Dr mwaka na kuwafuta kwenye ramani kwanini waziri husika anawaangalia hawa biko/ tatu mzuka na michezo inayofanana na hiyo? At least Kubet unaona kama umeshinda au lah! Hiyo mizuka imekuwa mizuka kweli maana haujui vigezo ni vipi na kupata mshindi sio live ni recorded tu,wizi mtupu.
 
afadhali buku lako ukabet kwenye michezo kama mpira. ukiliwa unaliwa kwa haki kuliko huo upuuz
 
mchezo unao jua umepata au umekosa ni betting aka mkeka zaidi ya hapo kwenye tatu mzuka na bikio ni desi ya kwa stahili yao
 
Hahahah kiukweli sitakaa nifanye upuuzi wa tatu mzuka japokuwa ni mnazi wa kubet hasa live games. Naona kama usanii flani kucheza biko au tatu mzuka, guts zinaniambia ushindi wao hupangwa.
 
Aiseee, kumbe Mpoki na Kajara wanakuwa sio live pale? ...kumbe haina maana kuweka simu karibu ile mida yao..... Damn
 
Ndo tatzo linalo tumaliza Africa vitu vya bure......tunapenda sana
 

mbavu zime uma kwa kucheka
 
Aisee mbona umekatisha Watu tamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…