Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Ulichezaje laki 70 wkt mwisho ndani ya maaa 24 ni 30,000/ tu_?
 
Hilo kweli mkuu
 
DR SHIKA KASHINDA
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu bahati yangu
 
Mkuu kuachia kodi ya 2.1 Bil. kwa mwezi kama alivyosema Slim5 hapo juu sio kitu rahisi,ni lazima uchunguzi wa kina ufanyike ili kubaini kuwa kweli hawa jamaa ni wapiga dili..
 
Bora Tatu Mzuka kidogooo ukipatia namba 2 unarudishiwa mara 2 ya kiasi ulichoweka
 
Tiketi yako LOEAZG ya TatuMzuka droo, 1944 imelinganisha namba 3! Umeshinda Tzs.164180! kodi 18%.imeshatolewa Namba za ushindi ni 483.tatumzuka ni simpo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…