togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Umefikia wapi mkuu... uliwashtaki?Mkuu tatizo siyo buku!buku ngapi wamewapiga kwa watanzania??nataka kukomesha tabia hii hawa wanafanya makusudi wakijua watanzania hatujui haki zetu na hili nitatizo kubwa kwakutojua haki zetu.
Ha ha ha ha ni nomawafanyakazi wao wanalipwa laki 2 kwa mwezi wewe ushinde milioni 100.Kapimwe mkojo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni rahisi zaidi wewe kuliwa na mamba nchi kavu kuliko kushinda bahati nasibu
Eti wanasema watu wengi wanaoshiriki sana ni wenye kipato cha chini,hivyo there is a great probability of winningJF-Expert Member
Wadau, hizi betting za Biko, Tatumzuka, mojabet na nyinginezo zinazotangazwa kwenye tv mbona sijaona mtu mwenye uwezo mkubwa au muhindi/muarabu kashinda? Tunajua wahindi wako mbele sana kwenye suala la kamari. Je hii ni kweli au washindi wanapangwa?
πππSawa
πππMimi nilikata ticket tarehe 3/5/2017 kwa kutumia m-pesa nikaletewa notification msg kuwa pesa imetumwa BIKO kama inavyothibitisha hapa 4E39LOSZ6Z Imethibitishwa. Tsh1,000.00 imetumwa kwa BIKO kwenye akaunti namba 256 tarehe 3/5/17 saa 9:44 AM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh**
Nikiwa nataka kucheza bahati nasibu ya wiki inayofuata hivyo nimenyimwa haki ya kucheza niliwapigia vodacom wakasema walishatuma hiyo pesa nisubiri hadi 24/5/2017 watakuwa wamejua tatizo nikawauliza hamuoni kuwa hamtendi haki, wajitetea kuwa wao walishamaliza kazi yao na ni kweli.
Nikawapigia BIKO wakasema wanashughulikia na sasa kila nikipiga simu zao hizi 07436575669 na 0711869823 hawapokei simu yangu.
Sasa nataka niende Katika bodi ya Bahati nasibu kuwashitaki vinginevyo natafuta mwanasheria nikawashitaki mahakamani kwa kunikosesha haki ya kushiriki bahati nasibu.