Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,440
Jana kulikuwa na thread watu unapeana ufahamu wa mambo mbali mbali kuhusu misamiati. niliyotaja hapo juu
Nimeamua kufungua uzi tuelimishane tukosoane kistaarabu kwa lugha nyepesi ili tuelewe. Wataalam na wasio wataalam karibu mueleze uelewa wenu. tuosme kwenye google na tutumie uelewa wetu tufundishane
Nawasilisha
Nimeamua kufungua uzi tuelimishane tukosoane kistaarabu kwa lugha nyepesi ili tuelewe. Wataalam na wasio wataalam karibu mueleze uelewa wenu. tuosme kwenye google na tutumie uelewa wetu tufundishane
- Tofauti za kiteknoloji CDMA na GSM ni nini?TTeknolojia gani kinadharia ina uwezo mkubwa .
- Tofauti iliyopo kati ya Huduma za 2G na 3G na 4G katika simu ni nini? Sifa hasa za 3G ni nini?
- Huduma gani zinatakiwa kupatikana kwenye 3G ambazo kwenye 2G hazipo na je ni sehemu gani duniani kuna huduma za 4G?
- Mtu mwenye Iphone 4G tanzania anafaidika nini na simu yake kwa provider wa tanzania tofauti na mtu mwenye simu za 3G
Nawasilisha