Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wana jamvi hili somo la kalenda kwa mara ya kwanza nilimsikia Askofu Kilaini akiliongea baada ya kuulizwa kwa nini kila siku Yesu tunaambiwa alizaliwa miaka 2000 iliyopita?
Alitowa majibu ya kina na alikata kiu za waulizaji kumbe hii miaka 2000 iko mingi sana mpaka kalenda ya sasa kupatikana.
Nasikitika sikuwa makini kutunza kumbukumbu ya ile interview, kwakuwa hili ni jukwaa la watu wenye weledi mkubwa naomba mwenye uelewa atupe elimu tangu kuanza dunia na mtiririko wa kalenda mpaka kalenda tunayoitumia leo.
Cc: Mzee Mwanakijiji Pasco Nyani Ngabu Kiranga EMT Yericko Nyerere Ishmael

Last edited by a moderator: