Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
1. kuna kalenda ya kikristo na ndo inatumika sasa kama general kalenda kikazi ilianzishwa na papa mmoja uko nyuma its not the best of calenders kwa miaka kuwa na errors principle ya kazi yake ni mzunguko wa jua na dunia ndo mana kila reference iko kwa jua.
2. kuna kalenda ya kiislam yenyewe inatumika kwa kuangalia mzunguko wa dunia na mwezi na ndo mana kila reference zinaangalia mwez hata idd inapimwa kwa kipimo cha mwezi pia si kalenda makini sana kwan ina errors kibao ktk kujirudia kila baada ya miaka kadhaa.
3. kuna the most powerful calender inaitwa myan calender, ndio the most accurate calender yenyewe inafanya kazi kwa kuangalia mzunguko wa dunia kujumuisha mzunguko wa mwezi na jua, its complex and accurate.
so somo la kalenda its not such a big issue, ni kuanza kuhesabu tu cku kwa kichukua reference either ya mwezi au jua au changanya vyote kwa mpigo halina uhusino wowote na mambo ya kimungu nk kama wanadini wanavyotaka kutuaminisha its simple as that!!!
Niko na wewe mdau aliyechangia hajanishibisha kiu yangu.ungeeleza kidogo hizo erra ni zipi. Kwenye kalenda zote. Hivi unaamini kalenda imesaidia kujua majira?
1. kuna kalenda ya kikristo na ndo inatumika sasa kama general kalenda kikazi ilianzishwa na papa mmoja uko nyuma its not the best of calenders kwa miaka kuwa na errors principle ya kazi yake ni mzunguko wa jua na dunia ndo mana kila reference iko kwa jua.
2. kuna kalenda ya kiislam yenyewe inatumika kwa kuangalia mzunguko wa dunia na mwezi na ndo mana kila reference zinaangalia mwez hata idd inapimwa kwa kipimo cha mwezi pia si kalenda makini sana kwan ina errors kibao ktk kujirudia kila baada ya miaka kadhaa.
3. kuna the most powerful calender inaitwa myan calender, ndio the most accurate calender yenyewe inafanya kazi kwa kuangalia mzunguko wa dunia kujumuisha mzunguko wa mwezi na jua, its complex and accurate.
so somo la kalenda its not such a big issue, ni kuanza kuhesabu tu cku kwa kichukua reference either ya mwezi au jua au changanya vyote kwa mpigo halina uhusino wowote na mambo ya kimungu nk kama wanadini wanavyotaka kutuaminisha its simple as that!!!
ungeeleza kidogo hizo erra ni zipi. Kwenye kalenda zote. Hivi unaamini kalenda imesaidia kujua majira?
hii nayo ni thread kweli jamani naona umebwabwaja tu hapa errors then after error njoo jibu lisilo na error. au lenye minimum error!!!
nimesema isiyo na error ni mayan calender tu kwan inafanya kazi kwa kujumuisha mzunguko wa jua na mwezi na dunia wakat izi 2 zinatumia jua na dunia tu kwa ii tunayotumia kila cku na ya kiislma inayotumia dunia na mwez tu alafu kama ushauri ukiwa hujui kitu kila information unayopewa ifanyie kazi badala ya kuanza kudis wakat ulikua huna before unless kama kuna kitu ulikua unajua ungeanza kukisema ili watu tuchangie kuanzia hapo as far as i know mada imeletwa as if muhusika hajui chochote kuhusu kalenda so nimekupa head start be grateful!!!!
Asante mkuu kwa maelezo mazuri ila nadhani kuna gape hapa kwenye maelezo yako ila wacha na mimi nisumbuwe akili kutafuta source tofauti.Kalenda inayotumiwa sana sasa inaitwa "Gregorian Calendar". Iliwekwa na Papa Gregory XIII.
Kalenda hii inahesabu miaka tangu kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Anno Domino, AD, the year of our lord, mwaka wa bwana), takriban miaka 2000 iliyopita, tunasema takriban kwa sababu mwaka halisi haujulikani vizuri. Makadirio fulani yanasema Yesu alizaliwa mwaka wa nne AD, hivyo, mwaka huu 2014, kikweli kweli, ni mwaka 2010 AD. Lakini tushaweka convention.
Gregorian calendar - Wikipedia, the free encyclopedia
Pia kuna kalenda ya Kiislamu inatumika sana nchi za kiislamu na katika dini ya kiislamu. Imeanza kuhesabiwa tangu Hejira ya Mtume Muhammad SAW mwaka 622 AD Mecca - Medina.
Islamic calendar - Wikipedia, the free encyclopedia
"The current Islamic year is 1435 AH. In the Gregorian calendar, 1435 AH runs from approximately 3 November 2013 (evening) to 23 October 2014 (evening)."
Wana jamvi hili somo la kalenda kwa mara ya kwanza nilimsikia Askofu Kilaini akiliongea baada ya kuulizwa kwa nini kila siku Yesu tunaambiwa alizaliwa miaka 2000 iliyopita?
Alitowa majibu ya kina na alikata kiu za waulizaji kumbe hii miaka 2000 iko mingi sana mpaka kalenda ya sasa kupatikana.
Nasikitika sikuwa makini kutunza kumbukumbu ya ile interview, kwakuwa hili ni jukwaa la watu wenye weledi mkubwa naomba mwenye uelewa atupe elimu tangu kuanza dunia na mtiririko wa kalenda mpaka kalenda tunayoitumia leo.
Cc: Mzee Mwanakijiji Pasco Nyani Ngabu Kiranga EMT Yericko Nyerere Ishmael
Mkuu Matola nitaomba nijibu na ama nikate kiu yako kwakuanzisha uzi ili nikuletee makala yangu niliyoandika siku za nyuma lakini nilikuwa bado sijawapa waswahili wenzangu elimu hii, ni makala ndefu naamini itatii kiu yako na ya wadau wengine,