Tuelimishane kuhusu Kilimo cha Pilipili Manga, kuanzia mbegu bora, magonjwa, utaalamu mpaka masoko

Hongera sana kwa kazi nzuri na asante kwa kuchukua muda wako kushare na sisi mkuu. Nimejifunza kitu mkuu.
 
Lazima uwe tajiri maishani mwako kabla hujafa.Mungu awe nawe.
 
haaaaaaa, hawajaamua boss kuwa mpole mimi nataka kulima tangawizi na pilipili manga
 
Pilipili Manga ina soko kubwa sana nje ya nchi hasa Urusi tatizo wanataka upeleke mzigo mkubwa kuanzia kontena moja kitu ambacho ni vigumu kwetu kupata kiasi hicho
 
Kilimo cha spices huwa kinalipa sana ila uhitaji umakini kwenye ulimaji....
Halafu ukiona zao linapendwa sana na waarabu na ndugu zangu wa vilemba ujue kuna connection na nguvu za kiume[emoji41][emoji41]....
Kuna jamaa aliniambia mbegu za tikiti na tikiti zinaongeza nguvu za kiume nikamjibu basi uarabuni yangeuzwa sana aache urongo...
 
Habari wana JF mimi mkazi wa dar nilikua nauliza wapi naweza pata pilipili manga kwa tani
 
Mwenye kujua hali ya hewa inayoruhusu hili zao kustawi na kuzaa kwa wingi tafadhali anijulishe.

Na ni sehemu gani Tanzania hili zao linastawishwa kwa wingi?

Asanteni
Hii mada ilikuwa nzuri sana kama mjadala ungeendelea
 
Hii mada ilikuwa nzuri sana kama mjadala ungeendelea
Tuuendeleze tafadhali. Nimetembelea Muheza kutafuta miche ya Migomba aina ya Fiha, mwenyeji wangu akanipeleka kwenye shamba lake la Pilipili manga, nikavutiwa sana.
 
Alafu Jana nilimsikia balozi aliyepo Korea ..pilipili manga deal kinoma noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…