Shareef Conscious
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 522
- 343
cable stayed millau bridge la ufaransa au suspension akashi bridge la Japan? kuna documentary video nzuri sana you tube zinazoelezea jinsi yalivyotengenezwa.Kama lile daraja refu kuliko yote Duniani ,lilijengwaje jamani
hakuna kitu kama hicho Teknolojia imeanza kwa mzunguInasemekana kwamba ni mchina pekee ndiye mwenye uwezo wa kujenga hz piers kutoka kwny sea bed mpk juu ama water lvl o above, je n kwel hli dai......??
Na kwa hapa tz wanaoweka hizo pier ni frank hii kampuni ndio imeweka majengo yote marefu kwa hapa darTechnology tu. Kwa nchi nyingi kama Tanzania, wahandisi wamekuwa limited na technology. Kuhusu kuweka pier na abutment, hata marekani wanaweza,na nchi nyingine ulaya na Russia pia.
Utakuta kuna makampun yame specialise kwenye kuweka piles/piers tu. Na hao wanakuwa bora sana.
nipe cotact zao mkuu, kuna kitu nataka nikifanyeNa kwa hapa tz wanaoweka hizo pier ni frank hii kampuni ndio imeweka majengo yote marefu kwa hapa dar
Nenda ofisini kwao wako pale maeneo ya sido mkono wa kushoto ukiwa unatoka vingunguti kuelekea uwanja wa ndegenipe cotact zao mkuu, kuna kitu nataka nikifanye
Mchina ananunua technologia kutoka Israel!Inasemekana kwamba ni mchina pekee ndiye mwenye uwezo wa kujenga hz piers kutoka kwny sea bed mpk juu ama water lvl o above, je n kwel hli dai......??
[emoji23] [emoji115]Ngoja waje...
TUTAJENGA WENYEWEUsizungumzie wami hilo hata ukarabati hauwezi kufanywa maana litawanufaisha watu wa kaskazini miaka nenda miaka rudi wami ni hilo hilo hata mkulu anajua hilo maana alikuwa huko kwenye wizara hata hakulikumbuka ( TUMSAMEHE MR WAMI NO UKARABATI )