Tuelimishane: Mfuko mdogo kwenye Jeans huwa na kazi gani?

Tuelimishane: Mfuko mdogo kwenye Jeans huwa na kazi gani?

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Hivi haka kamfuko kadogo katika Jeans huwa na kazi gani, yaani kazi yake ni nini?

IMG-20240308-WA0000.jpg
 
Hivi haka kamfuko kadogo katika Jeans huwa na kazi gani, yaani kazi yake ni nini?

View attachment 2927803
Mkuu mbona kuna uzi kabisa humu juu ya maana na matumizi ya huo mfuko.

Ujue hiyo fashion ni ya 'kale', haibadiliki mashono nadhani ndiyo fasheni ya mavazi iliyodumu kwa miaka nenda rudi.

Nakumbuka maelezo ya mtoa hoja alisema kuwa, enzi hizo wanadizaini mavazi hayo, kulikuwa na masera wanaotamba na saa za cheni(ambazo sijawahi kuziona) na huo mfuko ndiyo ulitengenezwa kuhifadhia.

Labda manufaa ya huo mfuko kwa sasa ni kufichia hela ya dharula kwenye msongamano wa watu, mf: kwenye UDART ili kuepuka kuchomolewa.
 
Saa za ma cowboy back in time in Texas rangers
 
Back
Top Bottom