Tuelimishane, Mipaka yetu ya kutoa maoni ni ipi ndugu watanzania ?

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,517
Reaction score
6,074
Happy Muungano Day!

Ndugu zangu Watanzania, kumekuwa na lugha inayotusisitiza kutoa maoni bila kuvuka mipaka ya nchi yetu , na hasa ikitolewa na viongozi wa ngazi za juu serikalini.

Ni muhimu kama watanzania tukaelimishana au kuelimishwa, ni maoni gani hayo kisheria ambayo tukiyatoa tutakuwa tumevuka mipaka ya nchi yetu kama watanzania?

Karibuni sana wakuu tupeane elimi

​
 
Usiingilie ulaji wa tabaka tawala ,ubakie kusifu na kuabudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…