Wakuu msaada!
Nataka kuwa agent wa biashara fulani toka nje. Ila sijui TBS huhusika vipi, kwa jinsi gani, na kwa gharama zipi. Naamini wengi tutafunguliwa macho kwa hili.
Shukrani
Tatizo hatujui bidhaa unayotarajia kuileta hivyo itakuwa ngumu kujua gharama za TBS maana zimetofautiana kulingana na bidhaa,niliingiza cement na ili TBS kuiptisha gharama ilikuwa 200,000/,na TBS haiusiki katika kila bidhaa hivyo weka wazi ni biashara gani ili wachangiaji wachangie vizuri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.