Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Nmekufanyaje D?Maalim Jumar
Kufanya Ngono.Hii elimu au kupeana tu taarifa? una maanisha nani aliyeanza nae kufanya mapenzi au?
Aliekuingiza ni nan?heheee! heheeee!
Mambo mengine automatic bana, hamna aliemfundisha mwenzie bali wote tulishutukia tupo kwenye maraha.:A S 103:
Wewe ulianzaje member?hata kama mkiwa isolated porini watoto wawili, wakike na wa kiume, msijue kinachoendelea ulimwenguni...ikifikia balehe tu minyege itawakamata na mtajua kama kuna hasi na chanya.
Wewe ulianzaje member?
Duh! hii kali sanaHabari JF!
Hili hua linaniumiza mawazo yangu....labda kupitia humu naweza faulu kukusanya majibu muafaka.
Wewe me/ke kabla ya kuanzisha au kujua hili tendo raha zake....ni nani aliekufundisha?
Ikawaje hadi sasa?
Tuelimishane!
<br />Nmekufanyaje D?